Nastahili kuwa umri gani kushiriki Supa 5?
Kulingana na sheria na kanuni za Bodi ya michezo ya bahati na sibu nchini
BCLB, unastahili kuwa na umri wa miaka 18+
Nitashindaje na Supa5?
Kwa tiketi ya Ksh 20 tu, Supa5 inakupa njia nne za kushinda;
1) Linganisha namba MBILI kwa mpangilio ushinde mara 3.75 ya bet yako
2) Linganisha namba TATU kwa mpangilio ushinde mara 10 ya bet yako
3) Linganisha namba NNE kwa mpangilio ushinde mara 200 ya bet yako
4) Linganisha namba TANO kwa mpangilio ushinde mara 10,000 ya bet yako
Nitajuaje nimeshinda kwenye draw za dakika 30?
Supa5 ni mchezo wa kipekee unaokuruhusu kucheza moja kwa moja kupitia
Mpesa. Huhitaji kujisajili wala kuwa na akaunti, unacheza tu kupitia Mpesa
yako. Mara unaposhinda pesa zako zinatumwa mojamoja kwenye Mpesa yako.
Itanigharimu pesa ngapi kucheza Supa5?
Unaweza cheza kwa kiasi kidogo zaidi cha Ksh 20 hadi Ksh 1,000. Unavyocheza
zaidi ndivyo unavyopata nafasi mingi za kushinda.
Naweza nunua zaidi ya tiketi moja?
Unaweza nunua tiketi mingi zaidi unavyotaka, ilhali tunakuomba ushiriki kwa
makini kulingana na uwezo wako.
Kumbuka Supa5 ni mchezo wa kujiburudisha na sio kazi au njia ya kuwahi
riziki.Tunakuomba uwajibike na ushiriki kwa makini.